JF ingeanza Kufanya usaili kwa member wake then kwenye profile waweke alama zao ili iwe rahisi kujua unadeal na mtu mwenye kiwango gani cha kufikiri.Niambie tajiri mwenye hoteli kadhaa za nyota 5[emoji56][emoji1787][emoji1787]
Sometime the greatest way to say something is to say nothing at all by Justin Timberlake.Jeiefu bhana watu wanajikanyaga kanyaga tu mara bilionea mara tena anaomba ten ya kula mara mchongo kwa dangote mh@###$$_
Wewe kaa kwa kutulia na uwe muwazi acha kujisifia mkuu, au ulikua unamshitua shetani nini na nimeona mahali unajigamba kua unauwezo mkubwa wa kufikiri niruhusu nikuchalenji ili kuthibitisha.Sometime the greatest way to say something is to say nothing at all by Justin Timberlake.
Unaanza kulopoka kwenye vitu usivyo na uelewa navyo
Embu nitolee upuuzi wako.Wewe kaa kwa kutulia na uwe muwazi acha kujisifia mkuu, au ulikua unamshitua shetani nini na nimeona mahali unajigamba kua unauwezo mkubwa wa kufikiri niruhusu nikuchalenji ili kuthibitisha.
Amani iwe nawe