Msaada wa kazi mwenye Connection kwa Dangote

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,188
Reaction score
14,345
Mimi mwana Jamii mwenzenu kwa unyenyekevu kabisa naomba msaada kwa yoyote yule mwenye Connection kwa Dangote Mtwara anisaidie niweze kupata kazi.

Imani yangu ni kuwa jamiiforum ni jukwaa kubwa linalowakutanisha watu wa hadhi tofauti tofauti kama wakurugenzi, meneja rasilimali watu na wanaotafuta kazi.

SIFA ZANGU
  • Stashahada ya ugavi na manunuzi
  • uwezo wa kutumia kompyuta kwa ufasaha
  • na pia uzoefu wa miaka mitano ya kusimamia vibarua na kuoperate mashine
Shukrani kwenu nyote.

Nawasilisha.
 
Husitegemee kutoka kiamaisha na mshahara wa hapo dangote,wanaokula dodo ni wahindi tu nyie wengine nikama mapunda.From experience

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwana Jamii mwenzenu kwa unyenyekevu kabisa naomba msaada kwa yoyote yule mwenye Connection kwa Dangote Mtwara anisaidie niweze kupata kazi.

Imani yangu ni kuwa jamiiforum ni jukwaa kubwa linalowakutanisha watu wa hadhi tofauti tofauti kama wakurugenzi, meneja rasilimali watu na wanaotafuta kazi.

SIFA ZANGU
  • Stashahada ya ugavi na manunuzi
  • uwezo wa kutumia kompyuta kwa ufasaha
  • na pia uzoefu wa miaka mitano ya kusimamia vibarua na kuoperate mashine
Shukrani kwenu nyote.

Nawasilisha.
Soma iyo
IMG-20211023-WA0001.jpg
 
Hawa ni matapeli!! Dangote hiyo sio Email yao!! Tangazo limeandikwa kiduni sana, eti viongozi wasimamizi mbalimbali ndo nini???? Hao ni matapeli, wahasibu 40???? Wanaenda kufanya nini??? Nimecheka sana
Nimekubali awa jamaa ni matapeli.. wametuma form ya kujaza then wanataka 15000 kama fee ya fomu sasa kweli tajiri Dangote anataka pesa zetu wanyongeView attachment Form .pdf
 
Kila la kheri kwako,najua changamoto mzipitiazo ila mungu yu mwema atakusaidia kupata kazi
 
Back
Top Bottom