Msaada Wa Kazi (Fundi Sanifu Madawa)

Rajab_Omar

JF-Expert Member
May 15, 2016
16,477
27,176
Habari Wakuu!
Nina Rafiki Yangu amehitimu Elimu ya Stashahada (Diploma) Kwa Fani Ya FUNDI SANIFU MADAWA (Pharmaceutical Technician) na Kwasasa Yupo Free Kitaa, Sasa Kama Mtu Anaweza Kutoa Msaada Au Maelekezo Juu Ya Kuwa Wapi Anaweza Kupata Nafasi ya Kazi yaani Iwapo kwenye kituo cha Afya Kwenye Mkoa Wowote Hule Tz Yupo tayari kufanya Kazi, au Japo Kuuza Dawa Kwenye Pharmacy Pia Yupo Tayari Kufanya Kazi.
Naomba Nijuilishwe kwa yule mwenye Ushauri au Maelekezo.
Karibuni Kwenye Uzi wakuu!!
 
Mkuu na wewe si umesoma hii kozi?
Screenshot_20190205-205022.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni JF wewe usishangae unaweza unakikuta kwenye thread nyengine Nina Bachelor ya Public Administration wewe chukulia powa tu.

Fake ID
Fake Post
Fake Education
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom