Msaada wa kampuni ya kunitengenezea vifungashio vya plastiki

kfc

Member
Aug 1, 2013
5
2
Habarini wana jamii forum, samahani naomba msaada nina shida ya vifungashio vya products zangu ambazo ni mafuta ya kujipaka sasa sijajua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea maana nahitaji chupa za plastic.
Nisaidieni wapendwa.
 
Kwa anayehitaji chupa za plastics au mifuniko naomba anicheki kwa email hakimusadock@gmail.com namba ya simu 0756626526 whatsap na 0659643318,0682753764 ,tafadhali mjulishe na mwenzako chupa za plastics aina zote zinapatikana kwa muda wote unaozihitaji.
 
Kuna sehemu mbili

Kituo cha T.O.T mandela road
Ukiwa unatokea ubungo usivuke barabara, rudi nyuma kidogo utaona barabara imeingia kwa ndani then nyoosha kwa mbele utaona geti jekundu mkono WA Julia

Ukiwa unatokea buguruni vuka upande WA pili

Kwingine ni kariakoo soko dogo baada ya heko pharmacy
 
ofis napangishwa ipo MATAA YA KAMATA/NYERERE ROAD JIRANI NA JENGO LA BAVARIA.

WASILIANA NA 0716310349,0659643318 UFIKE UKAIONE
 
Kwa anayehitaji chupa za plastics au mifuniko naomba anicheki kwa email hakimusadock@gmail.com namba ya simu 0756626526 whatsap na 0659643318,0682753764 ,tafadhali mjulishe na mwenzako chupa za plastics aina zote zinapatikana kwa muda wote unaozihitaji.
 
Attachments

  • 1477741398350.jpg
    1477741398350.jpg
    38.4 KB · Views: 301
Back
Top Bottom