Kuna kijana anataka kwenda jeshini, jana nikamwambia unataka kwenda jeshini uko tayari kufa vita ikitokea? Strange akajibu Tanzani kuna amani hakuna vita. Nikamwambia Afghanistan wanahitaji wanajeshi nikuunganishe? Alikimbia sijamuona. Maana yake nini? Nakwenda jeshini kwa vile TZ hakuna vita...thinking ya vijana wetu
Sent using
Jamii Forums mobile app