Msaada wa jinsi ya kutumia OTG

M16_kwaoz

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
231
455
Habari wanaJF,

Naomba kusaidiwa namna ya kutumia OTG/OTG CABLE AU NAMNA NYINGINE YOYOTE katika simu ili Iweze kusoma FILES kutoka kwenye EXTERNAL HARDDISK.

NB: Natumia Samsung A50
External HDD ni 1TB
 
20200824_162902.jpg
 
Kama Lizzy alivyokupa hiyo. kama hiyo drive unayotaka kuisoma haipo katika format ya Fat32 basi usihangaike. Pia sidhani kama simu inaweza kuEndesha External hard drive.
 
Nadhani pia output ya umeme ni kikwazo. Labda ingekuwa SSD hivi ila kwa HDD ina rotor ambayo inakula umeme zaidi
 
Habari wanaJF,

Naomba kusaidiwa namna ya kutumia OTG/OTG CABLE AU NAMNA NYINGINE YOYOTE katika simu ili Iweze kusoma FILES kutoka kwenye EXTERNAL HARDDISK.

NB: Natumia Samsung A50
External HDD ni 1TB
Inategemea na HDD baadhi zinakula umeme zaidi waya wako wa Otg utatakiwa uwe kama hivi.
images

usb male inaingia sehemu ya kuchukulia umeme kama port ya laptop, deki, tv, charger etc

Micro usb inaenda kwenye simu

Usb female ndio unachomeka kifaa chako.
 
Ahsante sana...ila hapo nafikiri itanilazimu niwe karibu na chanzo cha ziada cha nishati(umeme)PC n.k kama ulivyoainisha Ingawa nlihitaji connection ya moja kwa moja ambapo ni CABLE kutoka kwenye EXT HDD hadi kwenye simu bila kupitia sehem nyingne...but thanks again, nitajaribu hii(nikipata yenye Type C)
 
labda powerbank inaweza kuwa portable na kufanikisha.
 
Ahsante sana...ila hapo nafikiri itanilazimu niwe karibu na chanzo cha ziada cha nishati(umeme)PC n.k kama ulivyoainisha Ingawa nlihitaji connection ya moja kwa moja ambapo ni CABLE kutoka kwenye EXT HDD hadi kwenye simu bila kupitia sehem nyingne...but thanks again, nitajaribu hii(nikipata yenye Type C)

Niliwahi kua na Tablet ilikuja na huo waya na haikuhitaji source nyingine yoyote ile ya umeme.

Nilikua nachomeka huo waya kweny flash/external then kwny simu nahamisha files zangu bila shida kabisa.,sijui kama ndio huo ulikua unamaanisha au la.
 
Ahaa...nafikiri huo waya ndo kitu sahihi kabisa, kuunganisha pande hizo mbili moja kwa moja
 
Kwa upande wangu nilishajaribu na natumia mpaka sasa.....

Iko hivi , simu haina uwezo wa kuread NTFS files, yenyewe ni FAT 32 tu...

So unachotakiwa kufanya ni kudownload app inaitwa exFAT/NTFS for USB by Paragon software ipo Playstore . ...

Au kama hdd yako haina kitu iFORMAT kwa FAT 32 then itaweza kusoma kwenye simu bila ya hiyo program
Screenshot_20200825-115900_Google%20Play%20Store.jpg

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu nilishajaribu na natumia mpaka sasa.....

Iko hivi , simu haina uwezo wa kuread NTFS files, yenyewe ni FAT 32 tu...

So unachotakiwa kufanya ni kudownload app inaitwa exFAT/NTFS for USB by Paragon software ipo Playstore . ...

Au kama hdd yako haina kitu iFORMAT kwa FAT 32 then itaweza kusoma kwenye simu bila ya hiyo programView attachment 1547464

Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana ndugu.Hii itarahisisha zaidi.
 
Habari wanaJF,

Naomba kusaidiwa namna ya kutumia OTG/OTG CABLE AU NAMNA NYINGINE YOYOTE katika simu ili Iweze kusoma FILES kutoka kwenye EXTERNAL HARDDISK.

NB: Natumia Samsung A50
External HDD ni 1TB
A50 haina uwezo wa kusoma 1TB HDD labda ingekuwa SSD
 
Back
Top Bottom