Msaada wa jinsi ya kutumia modem kwenye Ubuntu 14.04

Msaada wa jinsi ya kutumia modem kwenye Ubuntu 14.04

Nyagi

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwenye hili jambo, nina laptop inayotumia Ubuntu 14.04 nimeupdate kila kitu ila kila nikijaribu kuweka modem hazisomi. Nimeweka ya Airtel, Zantel na Tigo zote zimebuma. Mwenye solution anisaidie.
 
Nenda pale juu mkono wa kulia sehemu imeandikwa edit connections huko ndo configurations zote zinafanyika au nenda store download modem manager
 
Nenda pale juu mkono wa kushoto sehemu imeandikwa edit connections huko ndo configurations zote zinafanyika au nenda store download modem manager
Shukrani mkuu. Nimefanikiwa
 
Back
Top Bottom