Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Wakuu Mimi ninajua kutengeneza databases/mfumo wowote ule kwa kutumia ms access kinachonishida ni kupiga codes za kutengeneza login form . Ili mtu awe ana login and out kwenye mfumo.
Naomba mwenye kujua anisaidie please.
Sijasomea masuala ya programming ila kwa kuwa nilisoma coz ya introduction tu ya ms access ndio maana nimekuwa mfuatiliaji wa hii kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app