Msaada wa jinsi ya kupata 'software' mpya ya Azam TV

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu,

Pana tangazo kwenye AzamTV jinsi ya kupata 'software' mpya. Ni maelekezo marefu hivo kwa kuwa wengine hatuna muda wa kushinda kwenye Tv inaniwia vigumu kukariri. Tafadhari mwenye kufahamu atupie hapa ili ni 'save' na kuanza kuiomba hatua kwa hatua.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom