Kuna kipindi hazitoki,,na kuna kipindi mtu fulani ndy anatoa sn, wengine hawatoi,,namaanisha wanakosa.
Kuna kipindi zinamwagika kila ukiingiza ubalozi..
So cheza ma msimu,,
Kwa mtu ambaye upo kwenye mfumo ni rahisi kujuwa nani anatoa kwa sasa na nani hatoi.
Kabla hujaomba viza kwnz chunguza nani anaupepo wa kuzitoa kwa kipindi hiki.