Kama ni AliExpress, njia cheap na rahisi kwako ni Master/Visa Card. Kampuni za simu huwa zinatoa virtual mastercard lakini sina uhakika zina-expire baada ya muda gani.Mkuu naomba kuuliza kuna mzigo nataka kugiza kutoka China kwa kuwatumia AliExpress...
1:-Hv upande wa malipo unafanyaje Kama mtu hujajiunga na huduma za kibank,pia vp utaweza kuconvert tsh kwenda us dollar.
2ili nataka kujua mzigo ukifika huwa unafikia wapi au ndo posta Kama ulivyofikishiwa mzigo wako.
Don't worry about currency conversion!
Sehemu inayofikia mzigo itategemea shipping method uliyotumia. Uzuri wa AliExpress unaweza kutumia Posta, na kwahiyo mzigo utafikia posta! Sio lazima uwe na SLP manake, kwa kawaida mzigo ukifika utatumiwa SMS,au unaweza kwenda kuulizia ukiona unachelewa!!