Nenda TRA kitengo kinachoshughulikia usalama barabarani/leseni watakupa utaratibu wa kubadilisha,ni simple na fasta ukikamilisha taratibu.Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema! nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi. Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado inasoma mmiliki wa kwanza. NINA DOCUMENT ZA MWANASHERIA ZA UNUNUZI. Naomba msaada wa taratibu za kuwa na kadi kwenye hali hii.
Shukrani sana kaka, ngoja nifanya hivyoNenda TRA kitengo kinachoshughulikia usalama barabarani/leseni watakupa utaratibu wa kubadilisha,ni simple na fasta ukikamilisha taratibu.
Kila laheri kwa kumiliki gari,ni hatua katika maisha.Utakuwa rafiki wa visima vya mafuta na hardwares za akina Massawe.
Lipa Kodi kwa maendeleo ya nchi yako.
Sijakupotosha.
Haya fanya shapu ili umwondolee ownership huyo aliyekuuzia uimiliki hiyo ownership mwenyewe.Shukrani sana kaka, ngoja nifanya hivyo
Njia zipo tofuoti;Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema!
Nimenunua gari kwa mtu ambaye naye alilinunua kwa mtu na hakuwa amefanya mabadiliko ya kadi.
Nia yangu ni kuwa na kadi ya gari kwa jina langu. Kadi bado inasoma mmiliki wa kwanza. Nina document za mwanasheria za ununuzi.
Naomba msaada wa taratibu za kuwa na kadi kwenye hali hii.
Alichodanganywa hapo ni kipi?Try to be specificWatu wengi hapo juu wamekueleza kwa lugha ya nyepesi na uongo kidogo.Nikuambie tu ukweli mkuu wewe ni mzembe kweli kweli!huwezi kuuziwa gari na mtu asiye mmiliki(aliyekuuzia bado hakuwa mmiliki),Pili hukwenda kuthibitisha usalama na uhalali wa hilo gari TRA,
tatu nikuhakikishie tu kwamba hutabadili kirahisi Kama walivyokushauri wengine.hiyo gari imeshakwepa transfer fee Mara moja,ukienda na mikataba hiyo miwili utalazimika kulipa zote mbili na penalty ya hiyo moja.
Huo Ndio ukweli japo unaumiza.
#3Alichodanganywa hapo ni kipi?Try to be specific
Siyo tu Bongo my friend;hata Japan usipokuwa makini na inspection reports na Mambo mengineyo you are dead and gone;I have a friend of mine alinunua Harrier old model from Japan through befoward and in two weeks hyo smoke yake na mlio wa engine acha tu;Its terrible!but the Car body was and it's still very very ok!That's why sometimes a very low price of the same car in the same auction should be a red flag to you!mfano ukiangalia walionunua magari befoward ambayo ni premium utayapenda best;yako Poa sanaKwa lugha rahisi..kununua gari mkononi mwa mtanzania kama huna knowledge ya kutosha.., ni sawa na kucheza kamari..unaweza ukala au ukaliwa.........
And Still hapa bongo;kuna watu wanauza magari bora na magari problematic;Therefore tafuta fundi makini hata kama ni wa gharama usijalishe;asiwe tu ni just fundi otherwise you are finish! My first rule sikuzote kwenye maisha yangu-huwa simwamini dalali kwa maneno na sikuzote simpi nafasi ya ku ni manipulate akili yangu;na nikishaona hanipi nafasi ya ku judge mwenyewe hata kama kitu ni kizuri mno huwa sinunui tena;In school we were taught that sometimes advirtsement are misleading na hapo ndo matatizo yanapoanziaga;Hopeful kila mmoja she strategy yake binafsi anapokutana na madalali au wauza vituSiyo tu Bongo my friend;hata Japan usipokuwa makini na inspection reports na Mambo mengineyo you are dead and gone;I have a friend of mine alinunua Harrier old model from Japan through befoward and in two weeks hyo smoke yake na mlio wa engine acha tu;Its terrible!but the Car body was and it's still very very ok!That's why sometimes a very low price of the same car in the same auction should be a red flag to you!mfano ukiangalia walionunua magari befoward ambayo ni premium utayapenda best;yako Poa sana
And fundi na dalali ukiwapa opportunity ya kulonga by experience you are finish;because they can colludeAnd Still hapa bongo;kuna watu wanauza magari bora na magari problematic;Therefore tafuta fundi makini hata kama ni wa gharama usijalishe;asiwe tu ni just fundi otherwise you are finish! My first rule sikuzote kwenye maisha yangu-huwa simwamini dalali kwa maneno na sikuzote simpi nafasi ya ku ni manipulate akili yangu;na nikishaona hanipi nafasi ya ku judge mwenyewe hata kama kitu ni kizuri mno huwa sinunui tena;In school we were taught that sometimes advirtsement are misleading na hapo ndo matatizo yanapoanziaga;Hopeful kila mmoja she strategy yake binafsi anapokutana na madalali au wauza vitu
Kampuni inayouza magari premium inaitwa japanesevehicles.com hao beforward wanasubiri..jamaa wanajiita trust company limites..Siyo tu Bongo my friend;hata Japan usipokuwa makini na inspection reports na Mambo mengineyo you are dead and gone;I have a friend of mine alinunua Harrier old model from Japan through befoward and in two weeks hyo smoke yake na mlio wa engine acha tu;Its terrible!but the Car body was and it's still very very ok!That's why sometimes a very low price of the same car in the same auction should be a red flag to you!mfano ukiangalia walionunua magari befoward ambayo ni premium utayapenda best;yako Poa sana
Secondly,Mwambie huyo aliyekuuzia akupe nakala ya mkataba ambao alipewa alipouziwa gari;uambatanishe na mkataba wa mauziano ambao alikupa wakati anakuuzia gari kisha mtafutie mwanasheria akuandikie mkataba mpya vizuri ambao utakusaidia kufanya transfer Kwa kushirikiana na first owner na second owner;kikubwa tu hapa ni kitambulisho cha mmiliki ambaye majina yake yanasomeka Kwenye kadi na Original card yenyewe. Please next time usinunue gari kabla ya kufanya kuthibitisha mmiliki halali wa gari manake ni rahisi kupewa card ambayo ilishakuwa transfered hivyo wewe upo na kadi useless