Msaada wa Jina

Msaada wa Jina

Abraham means father of many..sasa hiyo ni kwa kiyahudi sijui kwa kiislamu/kiarabu kama ni sawa..
 
Kama amezaliwa mwezi huu wa Muharram (Mfunguo Nne) basi namshauri amwite Hussein, kwani katika mwezi huu mnamo mwaka 61 Hijria mjukuu wa Mtume Muhammad yaani Hussein aliuawa kule Karbala Iraq, hivyo kufanya hivyo atakuwa amehuisha utajo wa Hussein mwana wa Alli aliyekuwa na mchango mkubwa katika Uislamu.
 
Mkuu Bigirita kwa majina ya kishenzi kweli nita stop that nonsense Siwezi kumwita Mwanangu et jina la

Siwema,Siwajuwi,chausiku,Cha kubimbi,Mwanauwani, na majina mengi mengineyo ya kipumbavu mimi ninayaaita

hayana faida unafikiri mwanaoukimwita mwizi na jee akiwa mkubwa akiwa jambazi utamlaumu nani? ukimwita sikujuwa

una maana gani hkujuwa kuwa Mungu atakupa mtoto? Upuuzi mtupu majina yetu ya kikabila ingawa mimi mwenyewe

Mzaramo na ni MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

Mkuu Matola Ujinga kwako wewe kwa watu wengine sio ujinga unamwita jina zuri lenye maana Mwanao si kumwita majina ya ovyo ovyo tu mkuu.

Mimi sipo Uarabuni Mkuu Matola mimi jina langu si unalijuwa (MziziMkavu Hauchimbwi Dawa) Hilo jina langu la Kizaramo lakini ninapinga majina ya kikabila mengi yao hayo majina hayana maana chochote kile Siangalii TV Za Uarabuni mimi ninaangalia TV za ulaya Mkuu nipo Katikati ya ulaya sina time za kuangalia TV za Washenzi waaarabu mkuu.


Mbona hata wazungu washenzi tena washenzi hasa, tumeishi nao
 
Rafiki yangu (Muislam) anahitaji jina kwa kichanga chake cha siku moja kati ya majina haya;


1. Abraham,
2. Aaqil,
3. Munir

Lipi achague na kwa nini unadhani ulilochagua ni bora?
Cha msingi hapa ni maana ya majina haya uchaguzi ni wako
1 Baba wa mataifa mengi [mbali mbali]
2. Mtu mwenye busara, akili mwenye kupenda haki
3 Mwanga unq'arao
 
Back
Top Bottom