Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
- Thread starter
-
- #41
Haya kama hilo hutaki:
1. Abdulqadir
2. Abdulrahman
3. Aboubakar
Unajua nini mkuu, mijina inayoanzia na herufi za mkiani ni nuksi sana. Wakati wa kupokea fedha unakuwa wa mwisho mbali huko, kama unabisha uliza makarani wa Sensa, NIDA, Wakimbizi, hata shuleni
Mwana Mtoka Patamu umetisha kweli majina yanaoanzia na Z ndio wa mwisho kupata mipunga haaaaa
ebwana kuna kaukweli hapa, je kwenye maisha ya kawaida?
Hata kwenye social life majina yanareflect. Kwa mfano kumuita mtoto Abdul - RAHMAN tayari umembariki. Rehema zinaelekea kwake tofauti na kumuita masumbuko.
unataka kusema Zion Daughter hushika mkia kwenye mshiko?
Dah dah...Hiyo sio kweli Kabisaa..shetani anshindwe na alegee
Hebu fikiria mtoto ukamwite Chausiku itakuwaje?
Baba mtoto anaitwaje? naomba kujua hili ili nijui ku-combine !!
amuite mtoto 'KIZITO' just luv this name!!
mh!sijui amwite nani jamani!!! labda Tariq....
Kuna jirani yangu hapa anawatoto watatu na majina yao kama ifuatavyo;
1)HAWA
2)HATUFIKI
3)MWATAKAJE
So you may choose one of them!
unajua kila mtu anavyo toa jina hua na maana yake au MKASA ..VISA... sasa sio ivyo mfano mtu anamwita mwanae..MKE JINA..SIWAZURI..SEMENI.....MFANO WAJARUO WAO MTOTO AKIZALIWA ASUBUI WATAMWITA..OMONDI..USIKU OTIENO...MCHANA OKECHI..nk inamaana kwa wao au kwa mtoa jina pia tueshim matakwa ya Mtu mbona wazungu pia wanajina mabaya?? MARCKFISH.
umeona enh, ngoja niendelee kukusanya majina, ila nipe na maana yake basi