mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Oct 12, 2017 #1 Habari wakuu, Kuna filamu moja ya Tanzania ambayo ndani yake msanii JB ametumia jina la Erick Ford, kwa anayeifahamu jina anipatie tafadhali. Natanguliza Shukrani.
Habari wakuu, Kuna filamu moja ya Tanzania ambayo ndani yake msanii JB ametumia jina la Erick Ford, kwa anayeifahamu jina anipatie tafadhali. Natanguliza Shukrani.
babadullah JF-Expert Member Joined Feb 21, 2017 Posts 508 Reaction score 320 Oct 12, 2017 #2 Senior bachelor
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,754 Reaction score 24,120 Oct 12, 2017 #3 kwa kuwa umeomba kwa nidhamu ntakusaidia. hiyo movie jb anajiita erick ford au dj ben kaigiza kama dj wa club. movie inaitwa Senior Bachelor
kwa kuwa umeomba kwa nidhamu ntakusaidia. hiyo movie jb anajiita erick ford au dj ben kaigiza kama dj wa club. movie inaitwa Senior Bachelor
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Oct 12, 2017 Thread starter #4 Jembekillo said: kwa kuwa umeomba kwa nidhamu ntakusaidia. hiyo movie jb anajiita erick ford au dj ben kaigiza kama dj wa club. movie inaitwa Senior Bachelor Click to expand... shukrani sana wakuu
Jembekillo said: kwa kuwa umeomba kwa nidhamu ntakusaidia. hiyo movie jb anajiita erick ford au dj ben kaigiza kama dj wa club. movie inaitwa Senior Bachelor Click to expand... shukrani sana wakuu
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,416 Reaction score 7,009 Oct 12, 2017 #5 Mzee wa swagwa.. Ndo inaitwa mkuu
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,820 Oct 13, 2017 #6 Kumbe kuna watu wanaangalia bongo movie hivi
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Oct 13, 2017 #7 ha ha ha ha ha haaa,imenibidi tu nicheke ingawa sijajua nacheka nini...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Oct 13, 2017 #8 Wa nguvu said: Kumbe kuna watu wanaangalia bongo movie hivi Click to expand... wapo wengi tu
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,820 Oct 13, 2017 #9 Joseverest said: wapo wengi tu Click to expand... Sikujua
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Oct 14, 2017 #10 Wa nguvu said: Sikujua Click to expand... ndio hivyo wapo wanaojitangaza na wapo wa kimyakimya