Tarime one JF-Expert Member Nov 12, 2013 2,246 1,731 Mar 11, 2017 #1 Nina bp ya kupanda na nimeambiwa nisipate large,nishaurini aina ya kilevi itakayonifaa tafadhalini.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 Mar 11, 2017 #2 Ungekuwa uko huku kusini ULANZI ungekufaa sana