Sasa mpya unaipata vipi kwa iphone xs max au unazunumzia refurbished nnMm hasa sjawahi kununua cm used, nitakopa popote ila nipate mpya coz used ni mtihan hasa bongo
Iphone za wapi??Kwanini iphone xsmax zina kuwa na shida sana uki update,baada ya kufanya update uta kuta simu hai support camera ?
Ivi hii si kama ku jailbreak ios, hapo kwenye iCloud inakuwaje mr, embu fafanua kidogo hapachecran simu za china
I cloud una remove sasa kwenye kuremove pia inategemeana kama simu ilikuwa MEID ipo on basi ujue network hazitasoma ndko zile iphone watu wanauza lakini network ipo lock naimani ulisha wahi kutana nazoIvi hii si kama ku jailbreak ios, hapo kwenye iCloud inakuwaje mr, embu fafanua kidogo hapa
Kwa kweli labla tuseme hivyo ila nimecheke video za Youtube utafauti upo ila mdogo sana na kwa watumiaji kama kina sisi siyo big dealUtofauti upi kati ya china na marekan nafikiri ya china unaweza bypass sio ya marekan ivyo kila kitu kipo sawa ukitoa ivyo maana bidhaa unayoiona marekan ujue ndio iyo ipo hong kong ambayo iPhone anatawi lake pale
Za USA huwa ni nini kama sio mpya na sio refubrished ?china ni refurbished na za USA sio refurbished
case closed