Msaada wa Internship/volunteering position

Pconnect

Member
May 4, 2014
5
82
Habari zenu wadau?
Suala la uzoefu (experience) limekuwa changamoto pale unapohitimu mafunzo/chuo na kuanza kusaka ajira...pamoja na mimi kuwa na shahada ya masuala ya benki na fedha nikiwa na uzoefu ule wa "field" pekee imekuwa changamoto kwangu kupata ajira (entry level job) hata zile za kujitolea (volunteer) na "internship" Naamini humu jf kuna waajiri/waajiriwa ningependa watushirikishe namna/njia za kufuata kuweza kupata "entry level jobs/internship/volunteer" ili angalau tuongeze ujuzi tofauti na ule tunaoupata "field" pekee...Hivyo mwenye msaada wa moja kwa moja tafadhali ni_PM...nawasilisha hoja, asanteni.
 
Back
Top Bottom