Msaada wa Internet Settings kwenye Galaxy Note 3

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
533
225
Wakuu heshima mbele..

Wadau naoma msaada wa Internet settings kwenye simu ya Galaxy Note 3. Nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu lakini ghafla tu imegomea internet.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom