Msaada wa internet kwenye tablet

Msaada wa internet kwenye tablet

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Kwenu wakuu wajuzi wa haya mambo, naombeni msaada juu ya ku-connect internet kwenye tablet yang inayotumia lain mana nikiweka laini inaniambia 'NO INTERNET CONNECTION' sijui ni settings gani ninahitajika kuzifanya help please!!
 
tengeneza au edit APN kwenye settings>>>>>Mobile networks
Kisha enable hiyo apn
 
Asante mkuu, nmejaribu hivyo ikawa inasoma net vizur tu mnara ukawa unasoma 3g ila sasa hivi inasoma 'E' lakini hairuhusu kuperuzi natumia laini ya tigo msaada hapo!
 
enable 3g
 
Back
Top Bottom