Msaada wa internet galaxy tab 2 7.0

Msaada wa internet galaxy tab 2 7.0

kweli lakini ni wajibu wao ili kila mteja apate anachohitaji.mfano kwa hapa tarime ktk minara na na mitandao kibao iliyopo 3g huwa naipata nikiwa ktk mji mdogo wa sirari ktk mnara wa airtel.
 
unaweza kua mtandao una speed ukajiunga kifurushi ambacho si sahihi. na ukieka line ya tigo utarudia step za juu tena maana apn itafutika itabidi ueke upya.

embu niambie kwa tigo na voda ni kifurush gan kipo fasta
 
embu niambie kwa tigo na voda ni kifurush gan kipo fasta

vifurush vya mb ambavyo sio unlimited ndio vina speed.

mfano unaambiwa kwa 500 tunakupa dakika 20 sms 100 na mb 125 vifurush vya namna hii vinakua na speed.

kwa kuanzia kwanza hebu nenda playstore search application inaitwa speedtest download then open halafu t3st speed ulete majibu.
 
okey mkwawa
 
Back
Top Bottom