Msaada wa internet galaxy tab 2 7.0

Msaada wa internet galaxy tab 2 7.0

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
Naomba kwa anaetumia tufahamishane inakuaje nikiingia kwenye google kusearch info inakubali ila you tube imegoma na pia play store haifungui.
 
Masai dada namaanisha Vodacom , Tigo na zantel...Nilishawahi kuwa na tatizo kama hilo nikaenda ofic zao wakanisaidia
 
dah hili swali nalijibu nahisi kama mara ya 20 leo si voda walirekebishe wala watu kusearch situation ipo vile vile.

ni bug ya voda hio wanakuekea setting za wap kwenye smartphone. wap inakuruhusu kubrowse lakini haikuruhusu kufanya vitu vya kisasa kama kustream na kuingia playstore kama hivyo.

solution ni kutengeneza upya setting za simu wewe mwenyewe.

nenda menu kisha setting kisha kwenye wireless and network click more kisha click mobile network then access point name.

hapo utaona kuna voda wap na mms so bonyeza kialama cha menu kucreate new apn.

connection name andika masai
apn andika internet

bonyeza back.
.
utarudi kwenye list ya apn utaona sasa hivi zipo tatu voda wap, mms na masai click kwa mbele ya masai ili kile kidoti kihamie kwenye masai. ukimaliza hivyo tatizo lako litaisha
 
mkuu sijakuelewa hata kidogo mmh
 
elekekeza taratibu
 
nimefanya ulivyoniagiza mkuu nadhani tatizo langu limeisha
 
Futa setting zote utakazo kuta hapo kwenye acces name, alafu create new Apn, Kwenye APN andika internet, kwenye name andika internet, na kwenye port andika 8080 kisha save.... Hapo itakuwa poa
 
Back
Top Bottom