Msaada wa intelsat 906 @64.2

kweli hata mimi niko na shida hiyo ingawa wanasema ITV na Channel 10 walihama kwenye hiyo sat...TBC naipata kwenye 64.2e kupitia blind search
 
Za nyuzi 46 Angelia hapo
Screenshot_20190611-073252.jpeg
 
na vipi kwa KU band napo nyuzi ngapi tunaweza kupata za ndani kwa FTA receivers
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom