hapo stend waulize gest inayoitwa florida ipo njia ya kwenda idara ya maji au chukuwa toyo(bodaboda) njoo kaloleni kuna gest nyingi kwa thamani ya hela yako ni nyuma tu ya yanaposimama mabaasi ya coy ya kilimanjaro
asante sana mkuu nitafanya hivyo, kesho nitakuwa hapo,pamoja sana