Msaada wa hotel Rombo

Msaada wa hotel Rombo

mimi pia nakuja huko next week natokea mombasa,nataka nije kutupa karata yangu huko .tumeorganize na crew yangu tunakodi basi,project yetu ya miez mitatu
 
Mawenzi Hotel ukifika tu stend chukua bodaboda mwambie akupeleka hapo ni kama mita 100!!
 
Loh! aliesema pombe ni haramu hakukosea, sasa inakuwa aibu mtu kuaga jamaa na marafiki unakwenda rombo, au ukisafiri unaogopa kusema nimetoka rombo? Warombo waamke bana maana mabasi yataanza kusafiri usiku na abiria watavaa ninja.
 
Mkuu usinitishe bwana kwani rombo imekuwa hivyo
 
Back
Top Bottom