Young Gwahe
Member
- Sep 3, 2017
- 53
- 163
Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
Ungepost jukwaa la Elimu ungepewa Majibu fasta.. Ila pale navyojua vyumba unavyotaka vipo pale mitaa ya kwa aziz Ally, sabasaba, na kama u naelekea Uhamiaji.Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
Siku hizi kuna daraja wengine wanaka vijibweniNilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
Kweli JF vimbwanga haviishi eti"ungepost jukwaa la Elimu" kwani hapa kapost kwenye jukwaa la urembo au biashara??Ungepost jukwaa la Elimu ungepewa Majibu fasta.. Ila pale navyojua vyumba unavyotaka vipo pale mitaa ya kwa aziz Ally, sabasaba, na kama u naelekea Uhamiaji.
Acha undezi wewe...Kweli JF vimbwanga haviishi eti"ungepost jukwaa la Elimu" kwani hapa kapost kwenye jukwaa la urembo au biashara??
Kumbe una mawazo nusu upande kwanini na wewe hukurekebisha reply yako after modes kufanya modifications, itakua something is wrong in your coconut.Acha undezi wewe...
Wewe unaiona post yake Leo.. Mimi nimeiona post yake Toka ikiwa na dakika 10 Toka ipostiwe.. Na ilipostiwa kwenye jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko.
Nicacoment mods wailete kwenye Elimu ili apate Majibu ya fasta.. Ww unakurupuka huko umekula maharage ya Jana.. Hata hujui kinachoendelea unaropoka tu.