msaada wa hizi calculations

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
wanajamvi najua humu kuna wataalamu wa PCM na mambo mbalimbali. swali langu ni kwamba namba za viatu zinafanyiwa calculations vipi ? kiasi kwamba mfano namba 43 ni sawa na namba 9.
nimejaribu kutafuta mitandaoni lakini maelezo yao hayana uhalisia especially kanuni inayotumika kukokotoa 43 kuwa 9.

nimeishia kupata majedwali ambayo tayari yameshajazwa.
 

Attachments

  • 1407002761096.jpg
    57.3 KB · Views: 530
Nafkiri cha muhimu ni kujua kwanini mguu wangu ni namba 9 au kwanini ni namba nane sababu hizo za Japan au USA au china ni standard tu hazina mahusiano ila watu wanazilinganisha.

Wakati tupo wadogo tukipimishwa viatu mama alikua akieka mguu wangu juu ya karatasi halafu anachukua kalamu anachora kuzungushia mguu. Hata akisafiri Ana sample ya mguu wangu ananinunulia kiatu sehemu yoyote.

Ule urefu WA mguu wangu ndio utakaosema mimi navaa namba ngapi. Wanaconvert toka centimeter/inch kwenda namba za viatu.

Hayo matable yenye namba za viatu yapo fixed sidhan kama kuna formula china walitumia kuwa namba 10 ya marekan kwetu uwe 45 ni just zimetokea zinafanana.

Nafkiri cha muhimu uwe na urefu WA miguu halafu unaangalia hio chat then unajua ukubwa WA kiatu
 

Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…