GreenMkulima Initiative Member Nov 13, 2018 20 5 Nov 14, 2018 #1 Habari ndugu zangu? Poleni na majukumu ya kila siku, mimi nina swali naomba mwenye kufahamu utatuzi sahihi anisaidie hapa. Tatizo la mizizi kuoza katika kilimo cha green beans naitaji kufahamu haya yafuatayo:- 1. Chanzo cha ugonjwa/tatizo 2. Ipi ni dawa sahihi na inachukua muda gani kufanya kazi. 3. Tatizo hili linaweza athiri kiasi gani mazao 4. Je ipi ni namna bora ya kulikabili hapo baadae. Nimeambatanisha picha za mimea niliyoigundua hivi karibuni. Natanguliza shukrani wakuu.
Habari ndugu zangu? Poleni na majukumu ya kila siku, mimi nina swali naomba mwenye kufahamu utatuzi sahihi anisaidie hapa. Tatizo la mizizi kuoza katika kilimo cha green beans naitaji kufahamu haya yafuatayo:- 1. Chanzo cha ugonjwa/tatizo 2. Ipi ni dawa sahihi na inachukua muda gani kufanya kazi. 3. Tatizo hili linaweza athiri kiasi gani mazao 4. Je ipi ni namna bora ya kulikabili hapo baadae. Nimeambatanisha picha za mimea niliyoigundua hivi karibuni. Natanguliza shukrani wakuu.
casanova69 JF-Expert Member Sep 14, 2015 2,358 2,144 Nov 14, 2018 #3 mbona inaonesha kama inaliwa na wadudu,kingine maji yakiwa mengi mizizi inaoza.
GreenMkulima Initiative Member Nov 13, 2018 20 5 Nov 15, 2018 Thread starter #5 casanova69 said: mbona inaonesha kama inaliwa na wadudu,kingine maji yakiwa mengi mizizi inaoza. Click to expand... Shukrani mkuu kwa wazo je kama ni mdudu dawa ipi ni nzuri nipulize
casanova69 said: mbona inaonesha kama inaliwa na wadudu,kingine maji yakiwa mengi mizizi inaoza. Click to expand... Shukrani mkuu kwa wazo je kama ni mdudu dawa ipi ni nzuri nipulize
GreenMkulima Initiative Member Nov 13, 2018 20 5 Nov 15, 2018 Thread starter #6 kancarl said: Ulipiga dawa kabla hujapanda ? Click to expand... Sijapiga dawa mkuu, ila kihistoria hili eneo nilishapsnda mahindi mwaka jana
kancarl said: Ulipiga dawa kabla hujapanda ? Click to expand... Sijapiga dawa mkuu, ila kihistoria hili eneo nilishapsnda mahindi mwaka jana