Msaada wa hili swala

Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika.
Asante.
 
Sahihi kabisaa hili jibu limekuwa
Made in Tanzania and
Made By Vivac
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom