Msaada wa hili neno

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,113
Reaction score
1,549
Wakuu neno hili nalisikia kwa wasanii wengi wa bongo fleva lakini cjawai pataa maana yake natumaini mna lifahamu "" AIYOLA""
 
Du hâta Mr IQ unaomba msaada haya ngoja waje
 
wasanii wametumia neno IYOLA kama jina!! na kwa kawaida jina maranyingi maana ya jina haiambatani na mwonekano wa kitajwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…