mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
Nimejaribu kote huko mkuu.nimeshindwa hata mimi mwanzo nilijua itakuwa one hand mode nikajaribu kuset kitu bado yaani imeanza ghafla tu.nilikuwa nafanya mirroring ikawa inajirestart yenyewe nikazima mirroring .then nikawa nataka badili line ile kuzima kuwasha simu ndio ikaniletea mauzauza hayomkuu sio one hand mode hio? nenda setting kisha control kisha one hand mode au one hand operation
Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake.Nimejaribu kote huko mkuu.nimeshindwa hata mimi mwanzo nilijua itakuwa one hand mode nikajaribu kuset kitu bado yaani imeanza ghafla tu.nilikuwa nafanya mirroring ikawa inajirestart yenyewe nikazima mirroring .then nikawa nataka badili line ile kuzima kuwasha simu ndio ikaniletea mauzauza hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu ngoja nifanye hiyo kitu.nitaleta mrejeshomkuu hebu jaribu kudownload launcher nyengine kama nova launcher uone kama itabehave kama hio, ikisolve clear cache za launcher ya simu na data zake if possible.
Hata ndege pia hupata hitirafu usishangae kwa simu ya samsung.Kumbe hata hizo zina tatizo? Nilidhani Tecno peke yake.
Si huwa mnasema zenyewe hazinaga tatizo?
Ni nadra mkuu sio kwamba hazina kabisa matatizo.Si huwa mnasema zenyewe hazinaga tatizo?
Call history kwenye simu yangu haiji nifanyejemkuu sio one hand mode hio? nenda setting kisha control kisha one hand mode au one hand operation
jaribu kudownload app nyengine ya kupigia simu uone history zitakaa? search tu playstore dialer. zikikaa ujue hio built in inayokuja na simu ina matatizo, jaribu kuclear cache na data
Asante ngoja nijaribu yani nikipiga au nikipigiwa haibaki namba yoyote nakuwa kama nimeclear listjaribu kudownload app nyengine ya kupigia simu uone history zitakaa? search tu playstore dialer. zikikaa ujue hio built in inayokuja na simu ina matatizo, jaribu kuclear cache na data
Duh hio wallpaper ni hatari.Jamani ni mda tu natumia simu aina ya samsung note 3.jana nimepatwa na tatizo la screen kutumika nusu namaanisha icon zimekuwa ndogo, kila nikiset font hakuna msbadiliko naombeni msaada.viandishi vimekuwa vidogo hadi macho yananiuma. View attachment 551698View attachment 551699
Sent using Jamii Forums mobile app
maandishi madogo na icon kutokea ndogo probably ni ppi/dpi hujawahi kuroot na kuchange kitu kama hicho?Chief-Mkwawa thanks kwa hii nova luncher.simu sahizi inaonyesha full screen but viandishi bado vidogo but nimeipenda sana hii luncher ubarakiwe mkuuView attachment 551771
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ipo rooted .sijawahi change my be niwegusa kimakosa mkuu.je naweza set hizo ppi dpi ? na ninabadilisha vipi mkuu? Samahani kwa usumbufumaandishi madogo na icon kutokea ndogo probably ni ppi/dpi hujawahi kuroot na kuchange kitu kama hicho?
baadhi ya simu dpi inakuwa kwenye setting kama hakuna nenda playstore download app inaitwa texdroider dpiSimu ipo rooted .sijawahi change my be niwegusa kimakosa mkuu.je naweza set hizo ppi dpi ? na ninabadilisha vipi mkuu? Samahani kwa usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisha download naset kitu gani mkuu?au naandika kitu gani hapo kwenye settingbaadhi ya simu dpi inakuwa kwenye setting kama hakuna nenda playstore download app inaitwa texdroider dpi