dredlock
Senior Member
- Feb 25, 2017
- 120
- 466
Wakuu habarini za manikin? Naombeni msaada wa nyimbo flan ya kitambo kaimba binti flan nsiyemjua ila nakumbuka tu baadhi ya mistar inapoanza, ni kama ifuatavyo
Nikuite jina gani mpenzi, ujue nakupenda
Nikupe sifa gani mpenzi, semaaa
Verse yake kuna mstar unasema
Moyo umekubali shida zote utakazopata
Nawasilisha na asante
Nikuite jina gani mpenzi, ujue nakupenda
Nikupe sifa gani mpenzi, semaaa
Verse yake kuna mstar unasema
Moyo umekubali shida zote utakazopata
Nawasilisha na asante