Changed ID
Member
- Aug 5, 2018
- 79
- 69
Habari za wakati huu wandugu,
Naomba mnisaidie kitu kimoja,
Kuna ghetto nimechukua la kupanga sasa kuna harufu fulani kama ya kinyesi kikavu kwa mbaali hii inanisumbua kujua shida ni nini.
Mwanzoni wakati naoneshwa hapakuwa na halafu kama hii lakini badae ikaibuka.
Nilifikiri ni choo labda lakini choo nilisafisha na dawa lakini sijaona mabadiliko yoyote.
Hii ni kwa Mara ya pili naexperience hii kitu mwanzoni niliwahi kuisikia mahali fulani hivi nikajua shida ni choo,Sasa leo yamenikuta Mimi.
Please over please mwenye kujua shida nini anisaidie. Imefika kipindi nikahisi au ni rangi iliyopigwa ndani kabla ya Mimi kuingia.