Nashukru, sasa mama anaweza kupauza bila kuingiliwa?
Nenda kaweke hiyo zuio mahakamani, kisha kesi kufanyiwa fujo. Mahakama itakapoamua hawatahili tu mwondoe weka dalali auze. Hawatachoka maadamu nyumba wanaiona itakuwa kila siku wako hapo, kuna cousin alishinda kesi kama hii akapangisha walikuja kuichoma kinyemela ikabaki auze kiwanja tu. Asimame ktk maombi atavuka tu.
Mkuu unachosema nikwel, bt nw inapaswa kujua solution, hayo mengine yatafuata...Mkuu hii tatizo siyo mara ya kwanza na ukitaka uhakika nenda kwa tebaijuka na kabla yake utazikuta hizo kesi mwaka nenda mwaka rudi na haya yote yanasababishwa na sisi wenyewe kutokuwa na elimu au kuwandika usia na ukimfahamisha mtu weka usia basi hamtaeliwana tena atasema unamfanyia uchuro na uchawi yeye kazi yake kubwa ni kuzalisha tu na huwona sifa kuwa na mitoto mingie na hata uwezo huwa hana sasa hayo huwenda lekawa somo kwa sisi mibantu ya kibongo thank you brother
Nmetumia lugha hyo c kwa nia mbaya mkuu,Kwanza lazima ujue kwamba wewe ni mjeuri. Unawezaje kuwaita watu watoto wa nje ¿? Hujatuambia kama aliyemuachia bi. mkubwa nyumba ni baba yako. Inaelekea marehemu alikua na mkewe na wtt wake halafu bi mkubwa akaingilia ndoa ya mtu na kuwatimua wtt wake na mkewe. sasa yupi mwenye haki wtt wa marhmu au mama. Tupe full picture.
kwa taarifa ulizopata hizo fujo wanafanya namna gani? wanatukana {makelele},wanatoa vitu? wapo na mnunuzi wa nyumba? au fujo zp? fafanua hapo kidogo ili upate wapi pa kuanzia ndugu..Mkuu mahakaman sawa bt npo dar na hitaji lipo GEita, hapo ndo mgogololo unapoanzia.. Wasingekuwa wanafanya fujo ningesubr,
Wanatukana matusi ya nguoni,kuna miti hapo mingi wanakata bila idhini ya mama, ki msingi hakuna amani.kwa taarifa ulizopata hizo fujo wanafanya namna gani? wanatukana {makelele},wanatoa vitu? wapo na mnunuzi wa nyumba? au fujo zp? fafanua hapo kidogo ili upate wapi pa kuanzia ndugu..
Mkuu tatzo c kujifunza,au la! Ila hata kama elim huna, hata ya kuuliza huna? Maana m naamini kama wanafuata taratb c ingejulikana kama wanahaki au hawana?Umejifunza nini juu ya hao watoto unaowaita wa nje ya ndoa?
Kama baba yako angekua na busara angewasomesha wakawa na elimu zao wasingesumbua sasa hivi.
Lakini kwakua aliona hawamuhusu ngoja sasa wachukue kilicho chao mali ya baba yao.
Nakuja mkuu..Khaah! Hyo mbn kali sn?! Wosia wa kumtambua mamako tu?! Utambulisho cku hizi ushakuw tena wosia?! Tuliza kichwa bro ujielezee vema na kama vp leta hii mada kwny jukwaa letu la wanasheria tuirarue rarue ila pia uje umejipangilia maneno yko vema in a way that unaeleweka.hpo kwl km mwanasheria ningekupa mtu wa kukusaidia kuwakilisha hoja man umeandaa kistress stress sn.tuliza mawazo thn uje upya.
sasa hapo jipange,,andaa mtonyo wa kutosha upambane nao kisheria,,naimani umeelimika na maujanja ya town unayo. mafanikio mema.Wanatukana matusi ya nguoni,kuna miti hapo mingi wanakata bila idhini ya mama, ki msingi hakuna amani.