hekima kaka ichukue mkondo wake maana nakuheshimu sana,kama huna mchango unapita tu
msimamo wake wa sasa kama sitaki kushiriki kuitoa ni bora tuachane tu
ni kwenda kwao kujitambulisha,ila sasa hataki kwenda huku akiwa mjamzito
najaribu kumwambia anasema atafanya mbinu zozote atatoa,akipata matatizo mi si ntawajibika na ntaonekana vipi kwa wazazi wake?
labda huna ela..
Hakutaki....
kaka fuatilia vizuri ni sababu gani inayomfanya asikubali kulea mimba na kuolewa na wew.nimetingwa hata kazi haziendi,kweli nampenda sana na nimemwambia twende kwa wazazi hata leo japo kwao ni mbali hataki,mara sikufikilia kuolewa mwaka huu,kumuacha siwezi hasa ukizingatia nampenda na bado ana kiumbe changu,kitu anachotaka kufanya bado ni hatari sana
thanx mkuu ujauzito ni wa miezi miwili,tatizo anasema bado mapema kwenda kwao,nilimshauri kwa nini tusiende hata kwa wazazi?ili mambo mengine yafuate?yote hataki
mi skushauri hata usogelee kwao kujitambulisha maana utapata aibu kubwa. Kwa majibu machache niliyoyaptia hapa inaonesha wewe kwa huyo mwanamke "sio wake wa maisha, bali wa muda, wa kuzugia, wa kufurahia ngono tu" kinachomzuia kukupeleka kwao hakjulkan, kinachomsababisha akulazmishe dhambi ya uuaji anakijua mwenyewe.
nimetingwa hata kazi haziendi,kweli nampenda sana na nimemwambia twende kwa wazazi hata leo japo kwao ni mbali hataki,mara sikufikilia kuolewa mwaka huu,kumuacha siwezi hasa ukizingatia nampenda na bado ana kiumbe changu,kitu anachotaka kufanya bado ni hatari sana