ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
- Thread starter
-
- #21
ngosha unauhakika mimba yako??jamaniii kila nikiclick naona huyo dada hana hoja zaidi ya madudu tu.Boss inaweza ikawa si yako anaona dawa ni kuitoa mimba tu sababu kama ndoa upo tayari,kulea mtoto mpo tayari na kikubwa mnaishi pamoja aibu ya kuishi na mwanaume bila ndoa haioni ila anaiona ya mtoto mweeee
hapana kuna kitu anaficha..........si bure kuna kitu.......kama anafwata maadili asingekubali kuishi na wewe kabla ya ndoa.....thanx kwa ushauri,nimemwambia kasema bora anywe sumu afe kuliko kupeleka aibu nyumbani,kwa kuwa ye ni mtoto wa kwanza na sababu zingine,ni bora mimi ningekuwa nimekataa
he makubwa poleee ngosha wa watu kwa yanayokukuta ndoa hataki,mimba bila ndoa anadai unamtia aibu kwao at the same time mnaishi kinyumba.Jamaniii wonders shall never end watu8 njoo uone makubwa mengine sasa huyo mama kijacho umemuuliza anataka nini ndo kakujibu anataka kujiua?
hapana kuna kitu anaficha..........si bure kuna kitu.......kama anafwata maadili asingekubali kuishi na wewe kabla ya ndoa.....
Yani ata mi kaniacha hoi isijekua kuna mengineyo mmh sasa msaada hapa sijui unaanzia wapi naona kila sehem kikwazo
na kwa kuongezea hapo mwaka huu wengi wamefariki kwa kutoa mimba wengi sana naowajua au wengine wanatibua magonjwa especially VVU vilivyolala[/QUOTE
Mungu kawalipa sawasawa na matendo yao....na hapo kujitafutia ugumba wa kujitakia.....
mim swala la kutoa mimba linaniuma sana........waeleze wazazi wako hali halisi ilivyo.....mkajitambulishe kilazima huyo binti akitaka kujiua ajiue au atoe mimba lakini wazazi wote wakiwa wanajua......mim hata kama sio ya kwangu ngoja tu nilee kuliko kuitoa na kuua kiumbe,hapa nilipo mpaka chozi linanitoka
tatizo mpaka sasa sijui nifanye nini,maana nikimuambia kuhusu kuiacha anakuwa mkali na maelewano hayapo,
mimi nipo tayari kufuata taratibu zote za ndoa,mara anasema nimeanza kazi juzi ntaonekana vipi kazini,nimetingwa hata sijui cha kufanya
tuliza akili.....na pia simamia kwenye msimamo wako.......
Hapo huna chako ndugu, chapa mwendo. Kama kweli hataki mkajitambulishe na mfunge ndoa huyo ana ajenda ya siri! La msingi washirikishe wazazi wako na ndugu za hao binti.
Kisha mpe msimamo wako kwamba hauko tayari kumpa ushirikiano kwenye kuitoa hiyo mimba.
Aise pole sana ndugu sina hakika kama huo mpango wakutishia kujiua nikweli au nikukuseti ukubali kuitoa ila msihi sana aondoe dhana yake hiyo yakutaka kujiua,jaribu kumueleza hivi aibu nikitu chakupita tu na binadamu wote tumeumbwa kufanya makosa!angalizo japo kumchunga huwezi angalia asije kuitoa kwa njia zakemim hata kama sio ya kwangu ngoja tu nilee kuliko kuitoa na kuua kiumbe,hapa nilipo mpaka chozi linanitoka
thanx maana kuitoa bila wazazi kujua ni kujitafutia matatizo kabisa
fanya hvyo asije akakufia sasa sijui utawaelezaje hao wazazi......fanya haraka uwashirikishe wazazi mana uwezi jua anachowaza asije akanywa sumu akakufia gheto.....
ni kwenda kwao kujitambulisha,ila sasa hataki kwenda huku akiwa mjamzitoAsije kutoa hio mimba!muoe tu azae..kwanini hamkutumia kinga?kama mpaka mnaishi pamoja mlikuwa na matarajio gani?
Kuna uwezekano mkubwa mko wawili na huyo mume mwenzio atakuwa hayupo muda mrefu sasa anadata kila akiwaza siku huyo jamaa mwingine atakaporudi...Sina nia mbaya we chunguza utabaini
thanx mkuu ujauzito ni wa miezi miwili,tatizo anasema bado mapema kwenda kwao,nilimshauri kwa nini tusiende hata kwa wazazi?ili mambo mengine yafuate?yote hataki
Sasa hivi anachotaka hakina umuhimu kwasababu mnavyoendelea kusubiri ndivyo mimba inakuwa kubwa na tumbo linaonekana!Maji ndo yameshamwagika hayazoleki...angekuwa hamtaki yote hayo mngekuwa makini tangia mwanzo!what is done is done you should just make the best out of it!ni kwenda kwao kujitambulisha,ila sasa hataki kwenda huku akiwa mjamzito