N Ngalewa Member Joined Jun 24, 2012 Posts 97 Reaction score 11 Aug 2, 2013 #1 Habarini wana jamvi jana nipishusha windo comuter mbili ila zipo connected kwenye network zinashea printer sasa nimemaliza ila nime plug in cable hazionekani nika create small office network ila bado kwa mwenye ujuzi zaidi naomba anifahamishe.
Habarini wana jamvi jana nipishusha windo comuter mbili ila zipo connected kwenye network zinashea printer sasa nimemaliza ila nime plug in cable hazionekani nika create small office network ila bado kwa mwenye ujuzi zaidi naomba anifahamishe.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Aug 2, 2013 #2 Vipi drivers zipo sawa?
N Ngalewa Member Joined Jun 24, 2012 Posts 97 Reaction score 11 Aug 2, 2013 Thread starter #3 driver zote zipo sawa