inaonekana kuna program ili corapt sasa inataka ku install jaribu kutazama ni program gani inayoleta hiyo massage halafu ui remove na ikikataa ku remove jaribu ku install tena **** ku repair na maranyingi ishu hii inasababishwa na kutokuwa na antvirus nzuri ambayo inashindwa kuzuiya virus
Kwa sababu inawaka.. na kuleta hiyo error ina maana sio hard disc huenda ni floppy disc, cha kufanya fungua hiyo computer chomoa waya zote za floppy drive then restart computer, ikiwaka bonyeza F1 ili kusave changes!! haitakusumbua tena
Kuna software inaweza kuwa inamiss support files, kama hp printer software mara nyingi huwa na kasumba hii, unaweza weka cd husika alafu ok, au hakikisha uko na strong antivirus na ipo updated na ufanye full system scan