msigazi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 475
- 358
habari Za Leo
Mimi Ni mtumiaji mzuri WA whatsapp
Napenda kusaidiwa kujua whatsapp ambayo ina ubora zaidi Ni toleo lipi ambalo liko vizuri
Hasa Nilikuwa nahitaji Ile YA option YA kuweka alama KAMA kumuonyesha mtu ushahidi WA mchoro WA alama nyekundu mshale nk
Natanguliza shukrani.