Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Wakuu pole na shughuli.
Nina simu yangu ya Tecno W3, ila kila anayenipigia wanamuambia inatumika, kila saa nikipigiwa wanasema simu inatumika lakini mimi kupiga napiga vizuri.
Je tatizo ni nini, na naweza itatua vipi.
Karibu