Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Shedangio

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
448
Reaction score
170
Habari wataalamu?
Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha?

Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia.
 
Habari wataalamu?
Naomba msaada mita yangu ya 3phase imegoma kuwanya kazi haina mawasiliano je kuna namna ya kuirekwbisha?

Haiwezi hata kusoma unit zilizobakia.
Report Tanesco wanakitengo cha kurepear hizo meter
 
Una CUI hapo ulipo?


Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma?

Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika
 
Una CUI hapo ulipo?


Je upo sehemu gani? Na je hiyo CUI inasoma?

Kama utaweza kunipa details haraka nakusaidia ila otherwise piga simu kitengo cha dharura cha sehemu uliyopo watafika
Cui ni nini mkuu?
 
Customer User Interface au remote kama mnavyoita


Meter yako ni ya conventional au LUKU/AMR?
 
Nashukuru nilifaniiwa namba ya kita ilitolewa so nimeingiza upya tu.
 
Back
Top Bottom