Msaada wa haraka

lee jack

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,033
1,817
Naombeni mnisaidie daktar wa magonjwa ya akili Nina mpendwa wangu amepata maradhi ya ukichaa... msaada
 
naombeni mnisaidie daktar wa magonjwa ya akili Nina mpendwa wangu amepata maradhi ya ukichaa... msaada
Mkuu pole sana kwa kuuguliwa na mpendwa wako. Unaishi mkoa gani ili tukuelekeze hospitali ya kwenda?. Nakushauri umpeleke hospitali ya karibu uliyopo. Atakutana na madatari wa magonjwa ya akili. Gharama ni bure(anatibiwa bure-kuanzia kumuona mapokezi mpaka kumuona Dr).

Kwa kuwa dawa hazipo kwenye hospital zetu utalazimika kununua dawa utakazoandikiwa.
 
Mkuu pole sana kwa kuuguliwa na mpendwa wako. Unaishu mkoa gani ili tukuelekeze hospitali ya kwenda?. Nakushauri umpeleke hospitali ya karibu uliyopo. Atakutana na madatari wa magonjwa ya akili. Gharama ni bure(anatibiwa bure-kuanzia kumuona mapokezi mpaka kumuona Dr).
Kwa kuwa dawa hazipo kwenye hospital zetu utalazimika kununua dawa utakazoandikiwa.
mimi nipo mkoan arusha sipo dar es salaam ni hospital ipi nimpeleke
 
Mpeleke hospital yeyote inaweza kuwa ni depression tu! Msongo wa mawazo! Akichomwa sindano ya kulala anaweza kuamka mzima kabisa!
 
Mpeleke hospital yeyote inaweza kuwa ni depression tu! Msongo wa mawazo! Akichomwa sindano ya kulala anaweza kuamka mzima kabisa!
Asante kuna sindano za kulala za depression ambazo akiamka anakua kasahau....hali ni mbaya
 
popote nitakapopata namba nimpeleke maana anaongea mwenyewe na kulia anasema anaona vitu visivyoeleweka
Mkuu narudia kusema hivi huhitaji kwenda Mwanza ili hali unaweza kumpeleka Hospitali za Arusha tu. Naimani kuna hospitali kubwa hapo. Mimi siyo mwenyeji wa Arusha.
 
Usiogope mpeleke hospital! Na yeye sio kichaa ni msongamano wa mawazo tu! Na uwe karibu naye asije akajidhuru au kumdhuru mtu mwingine...nenda sasa hivi! Mola akutangulie!
 
Back
Top Bottom