dm2000inter
Member
- Oct 27, 2010
- 29
- 10
Mungu Wangu Ana Serious Ploblem Msaidieni Mihata Sijui
Umejuaje kuwa ni serious problem kama hujui. Nawe mjomba mleta mada si ungemuuliza doctor wako alokupima akakueleza.. Utapewa majibu hapa na watu wameshapiga Konyagi zao uzimie bure...
Sielewi kilichopelekea kufanya kipimo hichi! Zamani kilitumika kupima kama mtu anashukiwa kuwa na Typhoid fever ila baadae kiliondolewa kwa kutokuwa specific. Kwa sasa diagnosis ya Typhoid hufanywa kwa stool culture. Ila kwa majibu haya uliyobandika hapa hauna tatizoHello JF,
Najua hapa si mahala pale lakini shida haina aibu. Nimepost JF Doctor lakini bado sijapata msaada wa haraka. Naomba msaada wa tafsiri ya vipimo hivi vya maabara.
Nimefanya Widal test majibu yakasema STO 1:40 na STH 1:160. Naomba kufahamu majibu hayo yanamaanisha nini na kama kuna ushauri wa kitabibu tafadhali nijulisheni wana JF.
Asanteni
Sielewi kilichopelekea kufanya kipimo hichi! Zamani kilitumika kupima kama mtu anashukiwa kuwa na Typhoid fever ila baadae kiliondolewa kwa kutokuwa specific. Kwa sasa diagnosis ya Typhoid hufanywa kwa stool culture. Ila kwa majibu haya uliyobandika hapa hauna tatizo