NGOSWE.120 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 219 Reaction score 234 Sep 21, 2012 #1 Mnaojua wapendwa wa jf, kuna umbali gani kutoka Dar hadi chalinze (km), na kuna umbali gani toka chalinze hadi arusha (km), naombeni msaada wenu jamani kwa hili tatizo langu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Mnaojua wapendwa wa jf, kuna umbali gani kutoka Dar hadi chalinze (km), na kuna umbali gani toka chalinze hadi arusha (km), naombeni msaada wenu jamani kwa hili tatizo langu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.