mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 636
- 665
Nimepata tatizo la simu yangu , mara ya mwanzo nilikuwa natumia facebook lite kama wiki imepita nikaamua kuistall facebook nabkuachana na fb lite. Baada ya siku tatu nikaamua kuinstall zote yaani fb lite na fb .nimetumia hizo kwa takribani siku kama nne hivi, baadae nikaona zote zimepotea , hazionrkani tena. Kila nikiinstal zinaenda ikifika mwisho zinagoma , na hii imetokea kwa zote lite na fb.lakini nikiinstall program nyingine zinakubali .
Msaada wadau nimehangaika wiki nzima sina access ya kuingia fb.Leo nimekumbuka kuja hili jukwaa kuomba msaada, nikajua kwenye jukwaa hakuna kinachoshindikana.
Naombeni msaada jinsi ya kuinstal tena hiyo fb