Msaada wa haraka: Utapeli unataka kufanyika kwa dada yangu huyu

Mwambie amwambie huyo dada kwamba kwa wakati huo amepata tatizo linalohitaji pesa kulishughulikia, hivyo atumie pesa yake atamlipa mara tatu ya pesa hiyo atakapopata ajira. Hapo atakuwa amemchallenge.
 
Back
Top Bottom