hapo pamenigusa, na ili uwe entrepreneur halisi lazima uwe risky taker, is he willing to risk , na enyi wafanyabiashara wengine mjifunze unasafiri kwenda nje kibiashara, mahela unakaa nayo ya nini? hivi travellers cheque siku hizi hazifanyi kazi?mwambie aanze upya mwanaume hakimbii shida huwa anaikabiliana nayoHeeeeee hii ndio mitihani ya maisha pole yake kwanza, mwambie kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, na biashara hivohivo, na kama yeye ni mfanyabiashara halisi hatakiwi kukata tamaa, unawaona kina Mengi hawa usidhani huwa hawakwami, ila wanatafuta njia za kuinuka tena, hapa kwa kweli ndio nimekumbuka ile characteristic ya "entrepreneur are born not made.......... au yeye alibahatisha tu kuwa mfanyabiashara....... mwambie biashara zoooote zina matatizo, atafute tu namna ingine ya kuanza from the scratch
Tena siku hizi unalazimishiwa mkopo kabisaKamwambie kwamba kinyuma cha faida ni hasara...Kwa hiyo wakati wowote alipokuwa anachekelea kwa kutembelewa na faida..hasara na ndugu zake walikuwa wamenuna...Akikubali hilo atakuwa amepiga hatua kwenda mbele!!
Mweleze kwamba ana bahati kubwa kwa sababu tayari ana nyumba..Hatafukuzwa na mwenye nyumba..Aende bank wajadiliane jinsi ya kumpa mkopo mwingine ili asife kabisa kibiashara..Hiyo ndiyo kazi yao...kuhandle wanaochekelea na wanaolia pia!!
Tena siku hizi unalazimishiwa mkopo kabisa
Ngumu kumeza, mkopo wa m 12 anakimbia mji wake? ajikaze kiume aanze upya