msouth23
Member
- Oct 31, 2015
- 73
- 59
Habaria za mida wakuu, kuna laptop hapa ina tatizo la kutowaka. Tatizo limeanza baada ya kuifungua kwa lengo la kuweka heat compound, sas baada ya kuifunga aitaki kuwaka yani hata ile taa ya kuashilia kwamba umechomeka chaja aiwaki, je tatizo laweza kuwa nini? msaada tafadhali