Msaada wa haraka unahitajika

msouth23

Member
Oct 31, 2015
73
59
Habaria za mida wakuu, kuna laptop hapa ina tatizo la kutowaka. Tatizo limeanza baada ya kuifungua kwa lengo la kuweka heat compound, sas baada ya kuifunga aitaki kuwaka yani hata ile taa ya kuashilia kwamba umechomeka chaja aiwaki, je tatizo laweza kuwa nini? msaada tafadhali
 
peleka kwa fundi akuchekie nikikwambia mimi inaweza ikaharibika zaidi.
 
Nenda tu kwa fundi Kama kufungua tu umeifanya hivyo he ukitengeneza sindo utaaribu mpk screen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom