Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Hellow wapendwa,msaada unahitajika hapa nikishika tu simu mkono unakufa ganzi tatizo ni nini?
simu yoyote au hiyo tu uliyo nayoHellow wapendwa,msaada unahitajika hapa nikishika tu simu mkono unakufa ganzi tatizo ni nini?
Kuacha kutumia simu itakua ngumu aisee